Ijumaa, 8 Agosti 2014

NENO LINAUMBA,NENO LINA PONYA, NENO LINA BARIKI

KULISOMA NENO,KULIFAHAMU NENO,KULIKABILI NENO,NA KULIISHI NENO
KULISOMA NENO NI KUMSOMA MUNGU,KULIFAHAMU NENO NI KUMFAHAMU, MUNGU
KULIKABILI NENO NI KUMKABILI MUNGU,NA KULIISHI NENO NI KUMUISHI MUNGU

KUSOMA NENO;
MKIRISTO imempasa kusoma neno maan ndiyo sehemu pekee ya kumjua MUNGU  na kujua nini MUNGU ana taka kusena na wewe kwenye kusoma neno utajua nini baya na nini zuri ambal MUNG anapenda kwako lifanyike,kuna maneno ya kutiwa moyo wakati wa majaribu,na uliona jaribu lilo kubwa ulione dogo ni kwakuwa umesoma neno,jaribu halitakuondoa kwenye msingi ulio ujenga kwenye neno maana utakuwa mikononi mwa MUNGU si ndiye neno,,,!
YN 1:1
Hapo mwanzo kulikuwepo na NENO, naye NENO alikuwepo kwa MUNGU,naye NENO alikuwa ni MUNGU.
Kwahiyo tunaona yeye ndiye NENO Pia biblia yangu inaniambia kuwa yeye ndiye MWANZO
2-3 huyo WANZO alikuwako kwa MUNGU  vyote vilifanyika kwa huyo;wala bila yeye hakikufanyika chochote  kilicho fanyika 
tunayafahamu haya yote kwa kusoma NENO
Pia kuna kuonywa katika NENO; Maana biblia ina sema ipo njia ionekanayo machoni pa mtu kuwa ni salama kumbe ni njia iendayo upotevuni;
kwahiyo neno pekee ndiyo inaweza kukuonyesha njia zako kuwa ni salama au si salama na kukuonya
kwahiyo tunayo sababu kuyafahamu maonyo na kumtukuza MUNGU
1 EBR 1:10
Na tena, Wewe,BWANA,hapo mwanzo uliitia misingi ya nchi,na mbingu ni kazi za mikono yako 
tuna mtukuza MUNGU kwakuwa tumemfahamu kwa NENO, Unapo lijua NENO umemfahamu MUNGU
Tunapo kuwa hatujali pale ambayo MUNGU anasema ni kwa sababu hatusomi NENO
Kuna kuisikiliza sauti ya MUNGU pale unaposoma NENO usilione NENO kuwa ni kitu cha kawaida MUNGU azoeleki hata siku moja  isiwe ni mazoea kuitwa wewe mlokole au mkiristo
hiyo inamchukiza sana MUNGU
AYUB 38:4
Ulikuwa wapi nilipo iweka misingi ya nchi? Haya!sema, kama ulikuwa na ufahamu
Ninani aliye amrisha vipimo  vyake,kama ukijua ?
au ninani aliye nyoosha kamba juu yake?
mimi na wewe hatujui lakini tunapolisoma NENO ROHO wa MUNGU ana tushudia na kutufundisha haya yote,ISIFIKIE WAKAI ADI mungu ANA TURUDI KWA BAKOLA KWAKUWA HATUSOMI NENO
hii ninaifananisha na wana wawili ambao mmoja alipenda kuketi miguuni pa baba yake akijifunza  na kula pamoja na baba yake
na wa pili yeye alipenda michezo hakujari kuwepo nyumbani ikafikia hata kuweka uadui na baba yake
alipata faida gani
kunacho weza kutuokoa ni NENO  maana biblia yangu inaniambia;nimeliuma NENO langu kuwaponya na kuwaokowa kwenye maangamizo
pasipo NENO kuna kuangamia,kwenye NENO kuna kuponywa kainahaja kuwasumbua watumishi wa MUNGU mimi nilipofahamu uponyaji uko wapi niliacha kuwasumbua watumishi wa MUNGU
ISA 44:24
Tena YEREMIA akawaambia watu wote,na wanawake wote,Lisikilizeni NENO hili la BWANA,ninyi nyote wa Yuda,mliopo hapa katika nchi ya misri
tangu kale NENO  lilikuwa ni muhimu hapa hakuna shotikati
NENO hufanya imani hata kufanya mtu kuamini na kutenda jambo furani
RUM 1:20
Kwa sababu mambo yake yasiyo onekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana,na kufahamika kwa kazi zake, yaani,uweza wake wa milele na UUNGU wake;hata wasiwe na udhuru ni kwa sababu ya NENO la MUNGU  ni kwa uweza wa NENO la UUNGU
NENO linaumba kama nilivyo ongea hapo nyuma  lina ponya
KOL1:16
Kwakuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa,vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi,vinavyo onekana na visivyoonekana,vikiwa ni viti vya enzi ,au usurutani ,au enzi, au isultani,au enzi,au mamlaka vitu vyote vimeumbwa kwa ajili yake,na kwa ajili yake.
yote haya tunayafahamu kwakuwa tunasoma NENO
ROHO mtakatifu anaishi katika NENO hicho ndicho chakulla cha ROHO mtakatifu
UFU4:11
MUNGU AKUBARIKI SANA upate kujua NENO kulitumika




Mwinjilisti  Johannes Range
0712565676
PGMM church
                                                          Askofu/ Dct BARNABAS E KIMBE
                                                                 PGMM Church
                                                            0653395344/0754395344
KARIBU HUDUMA ZINAENDELEA KILA SIKU
Usikose kuuliza juu ya lile linalo kukwaza utajubiwa na kusaidiwa
            KARIBU MUNGU akubariki mpendwa wangu ususani wewe mdau wa blogg yetu ya USAWA WA NENO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni