Jumapili, 10 Agosti 2014

VITA NI VYA BWANA ,USIPATE SHIDA

                                VITA NI VYA BWANA:                       BWANA YEYE HAOKOI KWA UPANGA

IPO SIRAHA JUU YU MTU WA MUNGU,INAYO MLINDA NA KILA JAMBO BAYA,AMBALO SHETANI ALIKUSUDIA KWA MTU WA MUNGU;




Kila siku huwa kunajambo ambalo mtu wa MUNGU anapitia  iwe baya au zuri
lakini haitufanyi sisi kushindwa kusonga mbele na wokovu
Ni kweli yapo majaribu ambayo  katika macho haya  inakuwa huwezi kusimama mbele yake
NI kama vile macho ya wana wa ISRAEL yalivyo muona Goriati kuwa ni mtu asiye weza kupigwa na ni mtu wa kuhofiwa sana
Lakini.nikwa sababu wengi hawajui uwezo wa NENO Nikama nilivyo ongelea uwezo wa NENO na kumkaribia MUNGU, nilizungumza katika chapisho li lilo pita
na hapa vile vile tunaona uwezo wa NENO DAUDI Alitumia NENO kumuua Goriati
YEREMIA aliambiwa niite nami nitakuitika na nitakuonyesha mambo magumu na magumu ambayo sisi hatukufikili,ni kwanini? ni kwa kulisoma NENO1.SAMWEL 17:42-47Hate wafilisti walipotazama huku na huku,akamwona DAUD Akamdhalau ; kwa kuwa ni kijana tu,tena anasura nzuri.Mfulisti akamwambia DAUD ,je! mimi ni mbwa hata unijie kwa  fimbo?Mfilisti akamlani DAUD Kwa miungu yake.Mfilisti akamwambia DAUDI njoo hukuNdipo DAUDI  akamwambia yule mfilisti ,Wewe unanijia mimi kwa upanga na fumo na mkuki, bali mimi nakujia kwa jina la BWANA wa majeshi MUNGU wa majeshi ya Israel uliyo watukanasiku hii ya leo BWANA atakutia mkononi mwangu,nami nita kupiga,na kukuondolea kichwa chako nami leo nitawapa ndege wa angani na wanyama wa nchi mizoga ya wafilisti ili kwamba dunia nzima ijuwe yakuwa yuko MUNGU katika Israel nao jamii ya watu wote pia wajue yakuwa BWANA HAOKOI KWA UPANGA WALA KWA MKUKI;MAANA VITA NI VYA BWANA  NAYE ATAWATIA NINYI MIKONONI MWETUje  wewe leo unasema neno gani kwa Goriati wako?maana tunajua kila mtu anaye Goriati wake
iwe kwenye ndoa,
familia yako
kazini kwako
maisha yako ya kila siku
je ? unamtamkia nini ?au kulingana na ukuwa wake unabaki una ugulia?sema NENO juu ya Goriati
wako mwambie hutoonekana tena milele
Mpendwa,jaribu lina masikio linasikia  kataa udhaifu
DAUD hakukili udogo wala kushindwa alimwamini MUNGU wa baba zake
MUNGU AKUBARIKI  SANA MPENDWA WANGU  ususani wewe mdau wa usawa wa neno bloggsport                                                     KARIBU IBADAN I:Mwinjilist Johannes R Mnico0712565676PGMMVINGUNGUTI DSM                                                             Askof/Doct BARNABAS I KIMBE                                                                           PGMMchurch                                                              0754395344-0653395344                                                                  VINGUNGUTI                        

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni