Jumapili, 3 Agosti 2014

ULICHO NACHO NDIYO MTAJI USIPUUZE.

                                               NIKUFANYIE NINI?
                               NIAMBIE UNANINI NYUMBANI KWAKO?


HALLOW WAPENDWA WANGU WA usawa wa neno blogsport mnaopenda kujifunza maneno ya MUNGU  kupitia blog yako
Leo tuakumbushana kuhusu uweza,nguvu, na uweza wa YESU KRISTO
NENO HILI AMELIFUNDISHA VIZURI SANA askofu Barnabas Emanuel Kimbe wa kanisa la PGM Church vingunguti

 NIKUPE TU SEHEMU YA MAHUBILI YAKE NILIYO KUTUNZIA WEWE  MPENDWA WANGU wa usawa wa neno blogsport

2falme 4:1-7

Basi mwana mke mmoja miongoni mwa wake wa wana wa manabii alimwendea Elisha,akasema, mtumishi wako mume wangu amekufa;nawe wajua kwamba mtumishu wako alikuwa mcha BWANA na aliye mwia amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa .................................!!! soma adi mstari wa 7
ujumbe: 
wapendw hatujazuiliwa kukopa,isipokuwa tulipe madeni  ya wale waliyo tuamini na kutukopesha,
biblia inasema asiye haki ukopo asirudishe ,aliye hahi ukopa na akarudisha
lakini tukumbuke madeni ya zamani ni tofauti na ya leo hii ,zamani ulikuwa ukikopa na ukashindwa kulipa,ulikuwa unapelekwa mnadani unauzwa lakini leo ipo neema
Yule mama alipo ambiwa na Elisha alitii kumbe pia kuna kutii
Tulia kwa YESU tii kiapo chako cha kwanza, unababaika nini  tulia
Yule mama jinsi walivyo  mfikilia ilikuwa sivyo
hata wewe leo wanekupajuna,lakini lipo jina alilo kuandalia BWANA
mtu yeyote anapo inuliwa huwa na jeuli na imani inakuwa zaaidi
Kunafaida kubwa ktika kumtegemea YESU,kuaibika kwako ni kwa mda tu,japo kunamateso lakini hautadumu maana neno linasema mateso ya mwenye haki ni mengi mno, 
Lakini bwana umponya nayo yote
siku hizi za mwisho wengi wamechanganyikiwa hawajui nini la kufanya
msaada ni kwa YESU peke yake ,hakuna kitu nje ya YESU
kwakuwa shetani anajua nini uhitaju wako basi basi anaiyubisha imani yako tulia uliko achana na imani za dini
Leo mtu akiona afanikiwi anakimbia kanisa huku nahuku
imani ni kuwa na hakika ya mambo yatalajiwayo,
ni bayana ya mambo yasiyo onekana kwa macho
LEO MPENDWA ANA TAKA ASHIKE APAPASE WAPI NAWAP?
unapotaka kujibiwa haraka shetani nae anatengeneza ant fisho ukiona unasema eeee huu ndio muujiza wangu ,kumbe ni mtego wa kukuangamiza
cheki mfano huu fimbo ya MUSA ilipo geuka nyoka farao naye alifanya muujiza kama huo huo tofauti nyoka wa MUSA alikuwa ni originar akameza wale ant fisho wa farao
kwahiyo shetani anauwezo wa kutengeneza muujiza  tulia kwa YESU


mWINJILIST johannes R Mnico
0712565676
vingunguti
PGMM church
                                                     Askofu mkuu  Dct BARNABAS I KIMBE
                                                        0653 395 344/0754 395 344
                                                        PGMM Church
                                                         vingunguti sher
KARIBUNI WOTE HUDUMA NA IBADA ZIPO KAMA KAWAIDA
MUNGU awabariki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni