Jumatatu, 14 Julai 2014

HASILA YA MUNGU JUU YA MADHABAU ;NA MIUNGU YA MADHABAHU  HIYO:
HASILA YA MUNGU HUSHUGHURIKA JUU YA MADHABAHU YA KIPEPO
amu 6:25 ikaw usiku huo huo bwana akamwambia ;mtwae ng'ombe wa baba yako ,yaani ng'ombe wa pili wa miaka saba  ukaiangushe madhabahu ya bahali,aliyo nayo baba yako ukaikate ASHERA ile ilioyo karibu  nayo; ukamjengee bwana MUNGU wako MADHABAHU juu ya ngome hii kwa taratibu zake;ukamtwae yule ng'ombe wa pili na kumtoa awe sadaka yakuteketezwa kwa kuni za ile ASHERA uliyo ikata;Ndipo Gidioni akatwaa watu kumi miongoni mwa watumishi wake; akafanya kama ambavyo BWANA alivyo mwambia; lakini ikawa, kwa sababu aliwaogopa wa nyumba ya baba yake na watu wa mji, hakuweza kuyatenda hayo wakati wa mchana bali aliyatenda usiku.......................

MADHABAHU  ina uzito wake kwanaama ibada za kuaminiwa hufanyika kwao waaminio  madhabahu ni sehemu ambapo ufanika kila aina ya kufuru kwa ibada tofauti kama vile
 1.  kutambika,
2. waganga wa kienyeji
 3,kuamini  wafu wananguvu ya kuwaponya
4, kujengea makaburi 
5, ibada wa wafu pamoja na kila aina ya makufuru
ilikuwa ni ngumu sana kwa Gidion  kuitekeleza sauti ya bwana  maana alizaliwa na kukuwa akiona babayake wakifanya ibada hiyo ghafra anaambiwa asiiabudu na kuibomoa pia  kwa kuwa Gidioni alimwamini MUNGU ALIAMUA KUTEKELEZA AMRI...............
Leo ni ngumu kuzibomoa madhabahu zilizo moyoni ......
katika ukoo asijuwe  yeye ndiye lango kuu kwa walio okoka kamavile YESU alivyo kuwa lango kuu kwa wafu na wazima pia
usipo bomoa madhabahu za ukoo wa kwenu,utaulizwa maana uliwakwa ili uibomoe mathabahu ya ukoo wenu maana utakapo bomoa mathabahu wale waaminio watakosa pa kuabudu na watakuja kwa YESU lipo kusudi juu ya ukoo wako,jilani yako,na rafiki yako usifurahi kuokoka tu bali uumie kwa ajili yao walio gizani nae MUNGU atashugulika na watu hao maana hasila yake uwaka zaidi kwako kwakuwa amekufanya kuwa lango la wokovu alafu usifanye 
cheki haruni alipo fanyika lango kuu baadae ndiye aliye ongoza maasi ghadhabu ya mungu iliwaka juu yake na si dhadhabu tu na makamio pia MUNGU ALIKAMIA KUMUANGAMIZA HARUNI 
Simama juu ya madhabahu ya kwenu ili watu waokoke

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni