Jumatatu, 14 Julai 2014

AILINI MTAWA
IIpo sababu  ya kumwanbia MUNGU asante kwa zawadi hii ya pekee
ZAMANI WAKURYA WALIJULIKANA KWA NYUSO ZAO
KUWA NI NYUSO ZA HASIRA, GHADHABU,NA HATA UGAIDI SI KWA WATOTO WALA WATU WAZIMA WOTE WALI LISISHWA HALI HIYO;
LAKINI NATAKA NISEME NAO WAMESHUKUWA NA NEEMA YA PEKEE
YA WOKOVU MAANA TUMEONA WATU WAKIACHA UJAMBAZI NA KUMFUATA YESU
JAPO SIFA ZOTE HIZO ZOTE NILIZO ZISEMA HAPO JUU;SIFA YA UKAHABA HAIPO KATIKA JAMII HII PIA HUIHESIMU NDOA NA KUWAJIBIKA AKIJUA NI JUKUMU LAKE KWA AJILI YA WATOTO WAKE fuatilia tutakuambia histor nzima ya jamii hii,ki maisha na kimwili pia 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni