Jumapili, 13 Julai 2014

IKO SIKU AMBAYO MIMI NA WEWE TUTAITWA NA YEYE ALIYETULETA HAPA DUNIANI:
MWANADAMU ALIPITIA HATUA 3 KUWEPO DUNIANI HATA PALE ANAPO ITWA NA MWENYE UHAI
Hupitia maisha ya mimba kama ambavyo mimi nimezoea kuita,ulimwengu huu  ulikuwepo kabla ya kuumbwa nisingi ya dunia anasema ALIKUONA KABLA HAIJA UMBWA MISINGI YA ULIMWENGU.AKAKUITA KWA JINA LAKO
KABLA UJAZALIWA ALIKUTAKASA. kwahiyo katika ulimwengu ule sisi tulikuwepo;
nataka utambue kuwa wewe uliumbwa kabla ya hii dunia na tuliumbwa kwa neno;neno ndilo li lilo tuumba na tukakamilishwa kwake kwa kufanyiwa mwili,tawsila ilikuwepo kwa neno;

2. MAISHA YA PILI NI MAISHA HAYA ;ambayo mimi nayaita maisha ya matengenezo ;NENO LINASEMA UMEPEWA AKILI NA UFAHAMU KAMA MUNGU mwanzo 3 Na kwakuwa umepewa kujua mema na mabaya basi uitengeneze njia yako,na kukutana na mtihani mingi,haina maana kuwa MUNGU ametuacha hapana NDOMAANA NENO LINASEMA'HAMTA JARIBIWA KUPITA KIWANGO CHENU CHA IMANI:
3.LAKINI PAMOJA NA HAYO tunayo maisha ya milele ambayo kila nafsi liyoumbwa naMUNGU itaishi iwe kuzimuni au paradiso kwahiyo kuwepo hapa duniani ni kutengeneza
maana hakuna nafsi itakayo potea  nafsi zote siku ile zitasimama kupokea hukumu yake
MHUBIL ANASEMA  Je?mtendaji anayo faida gani katika yale anayojishugulisha nayo? nimeona taabu ambayo MUNGU amewapa wanadamu,ili kutaabika ndani yake 11 kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake;tena AMEIWEKA HIYO MILELE NDANI YA MIOYO YAO;ila kwa jinsi mwandamu asivyoweza kuivumbua kazi ya MUNGU anayoifanya tangu mwanzo hata mwisho
mkubali MCH/ASK/MWINJ anaye kuhubili dhambi maana anafahamu safari yako maana kuna picha ya safari yako mbele yake
mch/ask/mwinj wanao kuhubili baraka pekee njia yako kwake imefungwa na shetani kafungua njia yake maana anasena yeye ndiye mwenye navyo na humpa anaye mpenda

  • LK 4:6 IBIRISI AKAMWAMWAMBIA,NITAKUPA WWE ENZI HII YOTE ,NA FAHARI YAKE, KWA KUWA IMO MIKONONI MWANGU NAMI UMPA YE YOTE KAMA NIMPENDAVYO; sabau kuu si mali bali ni mbingu na MUNGU akusaidie na ROHO mtakatifu akufundishe zaidi kuijua njia 3 kuu.hakuna aliye andikiwa wokovu ni mimi na wwe WARUMI anaambiwa HAKUNA TENA HUKUMU YA HADHABU JUU YAO WLIOKO KATIKA KRISTO YESU

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni