Jumanne, 15 Julai 2014

NITOE RAI KWA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI :
NATAMBUA KUWA WAMECHUKUWA NAFASI ILIYO NYETI SANA .AMBAYO ILIYOMPA SHETANI KIBURI NA KUTOTII MBINGUNI
SASA BASI:

WAIMBAJI WENGI WAMESAHAU KIAPO CHAO SIKU YA KWANZA AMBAYO WALIAPA KWA KUSEMA
Ee YESU naomba unisamehe makosayangu yote,Unitakase kwa damu yako iliyomwagika pale msalabani,natambua YESU ulikufa kwa ajili yangu,ukamwaga damu yako kwa ajili yangu, nisamehe bwana, Futa jina langu katika kitabu cha hukumu, andika jina langu katika kitabu cha uzima, Hasante YESU kwa kunisamehe,ni katika jina la YESU kristo amen;
siku hiyo ikawa nia furaha mbinguni,ukusherehekewa ww,mbingu zikasimamisha shughuri zote kwa ajili yako
ukaandaliwa kitengo cha uimbaji,inasikitisha taari mmesahau
LAKINI NAJUA SI KWA FAHAMU  ZAO ,NI KWASABABU HUWA WENGI HAWANA MDA WA MAOMBI 
efeso anasema  6:10-ad 23 
utawezaje kumshinda shetani kama dirii umeishika mkononi? kifuani ndimo kulimo na moyo na shetani huulenga moyo wako ili kuugeuza, na dirii ni maombi kamauombi nilazima utamtenda MUNGU dhambi tu kumbuka neno linasema tutamshinda kwa neno la ushuuda na kwa damu ya mwana kondoo, leo waimdaji wengi hawasomi neno,wanapo soma huwa wamepata sauti furani na anataka kuitengenezea nyimbo hapo atachungulia biblia tena kidogotu,wao ni kamavile safari ya mbinguni haiwahusu 
DUNIANI TUNAPITA TSIJISAHAU;
EBU fanya uchunguzi uone paliko na konset usiku inayo wahusu waimbaji ni aibu inakuwa ni kanakwamba wao wako ulimwengu mwingine,
NEEMA ISIWADANGANYE:
Utatubu adi lini?
wwe na produz niwewe,
na mwimbaji maalufu ,niwewe,
msambazaji wa kazi  ni wewe,
mbaya zaidi ni kwenye mitandao ya kijamii utasikia ,naomba namba yako ya sim jamani 
neema haidhihakiwi MUNGU ATUSAIDIE KWAKWELI 
Je? wewe unaliona hili ?
TUME KUWA TUKIOMBA SANA NA HII NDIYO PICHA NILIYOKUWA NIKIONYESHWA NA MUNGU

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni