Jumamosi, 12 Julai 2014

LINDA SAAAAANA MOYO WAKO KURIKO VYOTE ULINDAVYO


LINDA MOYO WAKO KULIKO VYOTE ULINDAVYO;




moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote ,una ugonjwa wa kufisha;
yeremia 17:19
ndani ya moyo ndimo panamo tokea pando ambalo jicho, sikio vimeshuhudia YUDA Moyo wake ulijawa na tamaa ya pesa na ndomaana aliamua kumuuza YESU Lakini ni jambo gani zuri kuriko moyo wako ?YESU ALIFANYA MABMO MAKUBWA YA KIMUNGU ;kwakuwa moyoni mwake hapakubeba jambo lolote ila neno la MUNGU na moyoni palitamani kufundishika MATHAYO 5:8
MOYO unawaza baya unapo upa nafasi uweke bize saa zote kwa BWANA MWANZO 6:5
Lakini kikubwa sana kinacho uchafua moyo ni tamaa mbali mbali MWANZO 6:1 Jichunguzwe ,ili uwe na uhakika kuwa ni mtu wa MUNGU ni lazima uwe na sifa MDO 10>Usijinajisi MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA KWA KUIFUATILIA BLOG HII ILI KUKUMBUSHANA KATIKA SAFARI YETU









Hakuna maoni:

Chapisha Maoni