(UVUMILIVU ) SUBILA
SUBILI HADI KUJA KWAKE BWANA"
VUMILIA ADI MWISHO:KUNAKUSHINDA NA ZAIDI YA KUSHINDA
20/07/2014
askof BARNABAS I KIMBE
Kuja kwake bwana sio siku ile ambayo dunia itakunjwa kunjwa,hapana
ni pale ambapo bwana atajibu jaribu lako aijarishi umechelewa au ni mda mlefu
YAKOBO anamfananisha mwanadam wa sasa kaika uvumilivu kama AYUBU kwakuwa hakuna aliyekuwa mvumilivu kama AYUBU
Pia bibli inamfanansha mvunilivu kama mkulima anaevumilia vipindi vyote
lakini pia huwezi kuwaita wavumilivu bila kumtaja YESU aliye chukuwa gharama kwa ajili yetu
YAKOBO 5:7-11 KUTOKA 32:1-2
Unapo okoka MUNGU anaachilia mafuta juu yako ,kwa ajili ya utumishi wako
na tambua unapo chaguliwa ni lazima vitainuka vita juu yako /VUMILIA/ maana jema liko mbele yako
sio wwe unaepigwa vita ila ni mafuta yalioko kwako ndiyo yanae windwa ili kutoweshwa.
Mpakwa mafuta wa bwana anaanza vyema, lakini katikati anapojongelea mafanikio huwa na ugumu wa uvukaji maana yanaibuka majaribu.
mtu wa mungu usitafute kufalijiwa maana hautompata sio wwe , ni mafuta uliyonayo ndiyo yanae tafutwa
kama kweli umechaguliwa na bwana, ni lazima upitishwe ili kuyafikia makusudi ya bwana
ELIA alipo kuwa na mafuta Yezebeli haku muweza maana yalitafutwa mafuta yalioko kwake
maka umeokoka mateso yako ni ya muda tu
vumilia adi atakapo kuja bwana katika tatizo lako
mafanikio si pesa wala utajili
mafanikio ni wokovu /YESU NDIYE MAFANIKIO nje ya Yesu hakuna kufanikiwa ni MAFANIKIO YA MDA TU tulia kwa yesu
pia kuna vitisho lakini usitishike maana hata mwanzo walikuwepo/wakina penina kazi yao ni kukatisha tamaa/wakina kola/na wengine wengi,
ila unapoona majaribu makari makari yasio eleweka basi ujuwe kitabo unapokea itaji lako
MUNGU AKUBARIKI SANA
MW/MWINJ Johannes mnico
0712565676
karibu PGM church vingunguti
kanisa la kiinjilisti
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni