Hatimaye sasa ni Bwana na Bi John Said. Baba ni Mchunga Mama ni Muimbaji
Watoto watakuweje, ni baraka zaidi hata. Tazama baadhi ya picha uone mambo yalivyokuwa kwenye sherehe ya wanandoa hawa wapya.
Furaha haziwezi kuisha kwenye nyuso za maharusi hawa, Mchungaji John Said na muimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, Martha Mwaipaja. Sinza Deluxe Inn ndio ukumbi ulioweka historia ya sherehe maharusi hawa waliafikiana kuwa mwili mmoja.
Mama mzazi wa Mchungaji John Said akizungumza mawili matatu na kuitabiria mema ndoa ya mwanaye kwenye sherehe amabyo ilifana pale Sinza Deluxe Inn.
Wazazi wa Martha Mwaipaja wakisifu pamoja na maharusi, company ya waimbaji ilikuwa ya kutosha, maana hapa ni ndoa ya watumishi wa Mungu, Mchungaji na Muimbaji.
Maghorofa ya keki yakipanguliwa kupelekwa meza sahihi, maana keki ni kwa tumbo
John Said na Martha Mwaipaja wa John
kweli,ni mbali tumetoka
JibuFutaLas Vegas Sands to pay $8.4 billion for its slots machine
JibuFutaLas Vegas Sands 양산 출장안마 (WMS) announced Monday it will pay $8.4 billion to Wynn 태백 출장샵 Resorts for the slot 당진 출장샵 machines 광주광역 출장마사지 and slot 당진 출장샵 machine machines.