Jumamosi, 12 Julai 2014

MTAZAMO FINYU WA GOSPEL HIP HOP

KATIKA MTAZAMO FINYU WA WATU KUHUSU MZIKI WA GOSPEL HIP HOP:
mim naamini hakuna mipaka kayika kumsifu MUNGU maana ukisoma biblia utaona DAUDI jinsi alivyo msifu MUNGU kama ni mfatiliaji wa istoria ya biblia  utakubariana na mm;
kwakweli mimi nabarikiwa sana na wale wate wanao msifu MUNGU ;LAKINI SEMA JAMBO MOJA
weng wao si waaminifu kwa swala la mahusiano..........! Lakini sielewi kama ni kweli nipale nilipo taka kujua kwa mwimbaji mmoja , ambae hakutaka jina lake litajwe,yeye alisema;KIUKWELI SISI WAIMBAJI HUWA TUNAVITA KUBWA NA SHETANI,HUKI MKUTA MWIMBAJI NDIO ANAANZA KUTUMIKA UNA MKUTA N MNYENYEKEVU SANA,LAKINI AKIISHA KUWA NA JINA ANAINUA MABEGA JUU NA KUJISAHAU NDIPO TUNAPO VAMIWA;Tena akatoa mfano akasema TAZAMA FANYA LSECH UTAONA NDOA ZA WAIMBAJI ZINA VUNJIKA SANA TENA WENYE UMRI MDOGO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni