Jumapili, 13 Julai 2014


  • UKURASA MPYA WA MAISHA YA WOKOVU KWAO WALIO MKUBARI YESU CRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAO:
NDUGU :Napenda leo tukumbushane juu ya safari yetu iliyoanzia pale MSALABANI ilyo beba vitu vingi;

  • Kuna jambo moja ambalo leo napenda tukumbushane juu ya ubatizo

UBATIZO: ninaufananisha na pale ambapo mtu anapo kufa kisha akazikwa, anakuwa hawezi kujuwa tena la nyuma yake,wala jambo furani la duniani hawsa anapozidiwa ,inakuwa hawezi kutamka jambo lo lote
Hivyo ndivyo ilivyo maana anakuwa amegubikwa na mauti au ulimwengu mwingine:





Lakini hata ubatizo wetu unapo batizwa unaifia dhambi,kama vile biblia yangu inavyo niambia,TUMEKUFA PAMOJA NA CRISTO NA KUFUFULIWA NAYE KATIKA USHINDI :RUMI 6:3-12
PAULO;hamfahamu ya kuwa sisi sote ..............
ufunuo 22:16
2 kor5:17
efe 4:22
kol 3:9-10
yn 8:38
usiutumie tene mdawako kwa dhambi :neema isikudanganye ,ninasema kwa ujasili kwakuwa nina yaona kila siku ninapoingia kwenye maombi so"MUNGU si mwanadamu hata aseme uongo.
Na neno la MUNGU ni UPANGA tena anasena amelituma neno lake kututoa katika maangamizo 
litii neno,lisikie neno,likubari neno,na liishi neno ipo faida kubwa
na MUNGU wa mbingu na nchi akuponye na kukubariki

                                 mwinjilist mnico mnico 
                                    PGM church 
                                     VINGUNGUT dsm
wasiliana nami kama hutojali tutiane moyo
0712565676-www.usawawaneno@gmail.com
au hapa hap bloggir ninategemea coment yako au lik

a baada ya ubatizo hapo ndipo tunaweza kumuonyesha MUNGU utii wetu juu ya lile analo hitaji kutoka kwetu ,maana unakuwa umefunguliwa sikio la rohoni na conection yako na ROHO mtakatifu-ROHO mtakatifu na YESU na MUNGU inakuwa hai mda wote
uombapo maombi yako uwa manukato mbele za MUNGU na si kelele na chukizo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni